Elections 2010 Wizi utakuwa Hivi kwa CCM na NEC

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Majimbo mengi yenye upinzani makali kati ya chadema na CCM wapiga kura wake walio jitokeza ni wachache kuringanisha na waliojiandikisha, mfano wamejiandikisha 400 wanaopiga kura 100, na asilimia kubwa chadema wanakuwa wanaongoza

Majimbo ambayo matokeo yake hayajatangazwa utasikia CCM inaongoza
waliojiandikisha ni 2000 waliopiga kura ni 1999, CCM inaongoza kwa kura 1800
chadema 15.

Hivi kwanini report wa ITV na TBC wanapotangaza matokeo ya awali hawatoi idadi? hii ni njama ambayo itasababisha matokeo kupinduliwa

Yangu macho CCM na nguvu ya UMMA NEC wanaandaa kuiba matokeo
 
Kama hamjui ni kwamba masanduku yanaibiwa njiani kwenda wilayani. Ndo maana utakuta yakishafika wanayafugnua na kuanza kuhesabu upya.
Ila tuheshimu matokeo ya vituoni
 
Back
Top Bottom