habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,739
Zitto anawapotezea muda wapinzani wa kweli..... badala angewaacha wa-focus kwenye mambo ya msingi anatengeneza drama anazojua kuwa anadanganya ikiwa yeye mwenyewe alishakaa PAC...Huyo Zitto amewalisha matango pori kwa kuwafanya mkaamini kuwa upotevu upo. Muda sio mrefu atakuja na drama nyingine na atawapa watu wengi tu wa kuwaingiza mkenge.
Binafsi sikubaliani na hoja kwamba hizi pesa zimeibiwa. Nina shaka kubwa sana na competance ya members wa team ya CAG. Wao wslipoona tofauti hiyo ilipaswa wajiongeze wafanye reconciliation ya kiasi halisi kilichopokelewa hazina kitoka kwa wakusanyaji. Si ajabu taarifa wa makusanyo ilipikwa ili ionekane targets zimefikiwa ili kufunika kombe ***** apite. Siyo kila tofauti husababishwa na wizi.Wizi na upotevu wa kiasi kikubwa cha 2.4 Trillion pesa ya walipa kodi Tanzania imechapishwa katika jarida la Africa Arguments na wameweka kabisa na ushahidi wa ripoti ya CAG.
Wameanza na kuandika alipoingia madarakani alijinasibu kupigana vita na ufisadi na kubana matumizi.
Haijawahi kutokea katika historia ya nchi yetu upotevu wa kiasi kikubwa cha pesa ya walipa kodi namna hii.
Inasikitisha sana. Kuweni na huruma na aibu!
Linki iyo hapo chini
Tanzania search for missing millions raises questions over $1 billion
Cc Zitto BAK Mag3 JokaKuu Salary Slip
Mnakula 40% ya Bajeti toka kwao kutwa kuwaomba misaada lakini mkishiba mnaanza maneno ya ajabu lakini wakati mnaomba misaada huwa mnawaita wafadhiliMabeberu
Hawawezi Kutusema Kwa Uzuri
Wewe peke yako lakini CCM wenzako wanajua pesa nyingi iltumika kwenye ununuzi wa wabunge kurudia chaguzi na kuminya demokrasia ikiwemo kuwalipa watengeneza propaganda mbalimbali hata ununuzi wa ndege kwa cash bei kubwa kuliko bei halisi napo imechangia pesa za walipa kodi kuibiwa kijanja janja na wajanja wachache.Binafsi sikubaliani na hoja kwamba hizi pesa zimeibiwa. Nina shaka kubwa sana na competance ya members wa team ya CAG. Wao wslipoona tofauti hiyo ilipaswa wajiongeze wafanye reconciliation ya kiasi halisi kilichopokelewa hazina kitoka kwa wakusanyaji. Si ajabu taarifa wa makusanyo ilipikwa ili ionekane targets zimefikiwa ili kufunika kombe ***** apite. Siyo kila tofauti husababishwa na wizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upotevu wa ajabu wa fedha umetokea, wewe unasema waendelee kuchapa kazi? Unamaanisha waendelee kupoteza fedha za umma?
True .. ila idara husika/hazina ndio walitakiwa kufanya reconciliation "kukamilisha vitabu vyao kwa usahihi" koz CAG anafanyia kazi taarifa toka kwenye idara.. hawezi kujiongeza..... CAG hana kosa kutoa hiyo taarifa akihitaji majibu sahihi thru PACBinafsi sikubaliani na hoja kwamba hizi pesa zimeibiwa. Nina shaka kubwa sana na competance ya members wa team ya CAG. Wao wslipoona tofauti hiyo ilipaswa wajiongeze wafanye reconciliation ya kiasi halisi kilichopokelewa hazina kitoka kwa wakusanyaji. Si ajabu taarifa wa makusanyo ilipikwa ili ionekane targets zimefikiwa ili kufunika kombe ***** apite. Siyo kila tofauti husababishwa na wizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM ndiyo waongo na waingiza watu mkenge lakini Wapinzani husema Ukweli na siku zote watesi wa CCM huwa hawapendi Ukweli ndiyo maana huwabambikia kesi na kuwapiga RisasiHuyo Zitto amewalisha matango pori kwa kuwafanya mkaamini kuwa upotevu upo. Muda sio mrefu atakuja na drama nyingine na atawapa watu wengi tu wa kuwaingiza mkenge.
kununua wabunge (anaweza kutumia vote 20 haina maswali wala ukaguzi), ununuzi wa ndege boeing hawawezi kufanya huo ujinga, plus kununua cash kumepunguza interest koz ukilipa kwa instalment comes with interests...Wewe peke yako lakini CCM wenzako wanajua pesa nyingi iltumika kwenye ununuzi wa wabunge kurudia chaguzi na kuminya demokrasia ikiwemo kuwalipa watengeneza propaganda mbalimbali hata ununuzi wa ndege kwa cash bei kubwa kuliko bei halisi napo imechangia pesa za walipa kodi kuibiwa kijanja janja na wajanja wachache.
viko wanavyosema ukweli na ila hii ya 1.5T ni upupu usio msingi..CCM ndiyo waongo na waingiza watu mkenge lakini Wapinzani husema Ukweli na siku zote watesi wa CCM huwa hawapendi Ukweli ndiyo maana huwabambikia kesi na kuwapiga Risasi
Siyo kweli hicho kisingizio cha cheap politics hakina mashiko wala uhusiano na upotevu wa pesa za umma, hata mje na utetezi gani mtadunda tu kumbuka watanzania wameamka wanajua jinsi CCM wanavyotumia nguvu kubwa kujisafisha kwa kuzuia Ukweli kusambaaTrue .. ila idara husika/hazina ndio walitakiwa kufanya reconciliation "kukamilisha vitabu vyao kwa usahihi" koz CAG anafanyia kazi taarifa toka kwenye idara.. hawezi kujiongeza..... CAG hana kosa kutoa hiyo taarifa akihitaji majibu sahihi thru PAC
Shida ni Zitto kugeuza hoja ya ukaguzi kuwa tuhuma/wizi.... hali akijuwa baada ya taarifa ya CAG kuna steps za kupata majibu/ufafanuzi..... Cheap politics za Zitto... fooling the majolity of watz.
Hivyo CAG ni mzunguWazungu wasipokupenda watakutafutia sababu tu watakusema kwa mabaya ya kutunga ilimradi roho zao zilizike...
Sina haja ya kisingizio wala kukushawishi... ila kuna mahali tumia kuelewa kuliko kuamini..Siyo kweli hicho kisingizio cha cheap politics hakina mashiko wala uhusiano na upotevu wa pesa za umma, hata mje na utetezi gani mtadunda tu kumbuka watanzania wameamka wanajua jinsi CCM wanavyotumia nguvu kubwa kujisafisha kwa kuzuia Ukweli kusambaa
Mkuu naona Picha ya Emerald kwenye avatar yako.. Kati ya mawe napenda ni Emirald Ruby na black opal.Binafsi sikubaliani na hoja kwamba hizi pesa zimeibiwa. Nina shaka kubwa sana na competance ya members wa team ya CAG. Wao wslipoona tofauti hiyo ilipaswa wajiongeze wafanye reconciliation ya kiasi halisi kilichopokelewa hazina kitoka kwa wakusanyaji. Si ajabu taarifa wa makusanyo ilipikwa ili ionekane targets zimefikiwa ili kufunika kombe ***** apite. Siyo kila tofauti husababishwa na wizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo elimu yako ya bure unafahamu wanafunzi wanavyobanana madarasani!!? Wako hadi 200 darasa moja!!!tunaojua jins neo colonialism inavyofany kaz katika nchi za ulimwengu watatu hatupat shida, mwacheni jpm afanye kazi , hizo ni propoganda tu za mabepari ,watanzania sujui tunatak nn ,yani elimu.bure, reli ya kisasa, mrad wa kufua umeme , vituo vya afya kila kona vinajengwa na kuboreshwa,angalia hosp ya benjamin m dodoma kwaajili ya wagomjw wa moyo ,tuacheni utani jpm ni level nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukibana huku wanahamia kule kwa jirani.nibora uwape uhuru wao[ni bora angeruhusu mikutano ya vyama watu wangeongelea humuhumu yakaisha kuliko sasa wanasemea kwa majirani
Wewe ndiye unayeleta propaganda. Mwenzako ameweka hapo na ushahidi halafu wewe unaibuka na nyimbo za tangu ukoloni? Hayo mareli na madudu gani sijui mbona hata wakoloni wetu na makaburu wa Afrika Kusini walijenga, tena kwa fedha zao. Nyie mnajenga huto tureli mkitudanganya kuwa mnatumia fedha za ndani huku mkikopa kisirisiri. Mtatuletea matatizo muda sio mrefu, haishangazi sasa mmeanza kuwatumia akina Nkamia ili mpige miaka 30 msihojiwe huu ubadhirifu mnaoufanya..tunaojua jins neo colonialism inavyofany kaz katika nchi za ulimwengu watatu hatupat shida, mwacheni jpm afanye kazi , hizo ni propoganda tu za mabepari ,watanzania sujui tunatak nn ,yani elimu.bure, reli ya kisasa, mrad wa kufua umeme , vituo vya afya kila kona vinajengwa na kuboreshwa,angalia hosp ya benjamin m dodoma kwaajili ya wagomjw wa moyo ,tuacheni utani jpm ni level nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app