gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,196
- 5,764
Kweli kabisa.yaani toka dunia kuubwa hatujawai pata mtukufu kama uyu.Nchi ilikua haina shule hata moja,barabara,reli,umeme yaani nchi ilikua ukiwa tena utupu.serikali zote zilizopita hakuna kabisa walichofanya.wewe ndugu hata kama nikusifia wewe umezidi aise.hebu punguza kudanganya basi.tunaojua jins neo colonialism inavyofany kaz katika nchi za ulimwengu watatu hatupat shida, mwacheni jpm afanye kazi , hizo ni propoganda tu za mabepari ,watanzania sujui tunatak nn ,yani elimu.bure, reli ya kisasa, mrad wa kufua umeme , vituo vya afya kila kona vinajengwa na kuboreshwa,angalia hosp ya benjamin m dodoma kwaajili ya wagomjw wa moyo ,tuacheni utani jpm ni level nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app