Wizi, upotevu na ushahidi wa 2.4 Trillion waanikwa na kuchapishwa katika majarida ya kimataifa

Licha ya yote sura mbaya para Jiwe ni jizi lililokubuhu
kutukana kwenye mitandao ya kijamii kamwe hakutakisaidia chama chenu kupata umaarufu wa kukiwezesha kushinda uchaguzi. Kunako 2020 tunatarajia kuwaoneni mkilia na kusaga meno.
 
Yale ya trilioni 1.5 yamekuja kugundulika kuwa ni mambo ambayo Zitto kwa sababu anazozijua mwenyewe aliyabuni.

Upo uwezekano hata hizi habari za sasa na zenyewe ni kama zile za Zitto, muda ndio msema kweli.

Uongo huwafikia watu kwa kutumia lifti ukweli hupanda ngazi.
Walipowaondolea "Bunge live" walijua haya ndio yatakuwa matokeo. Huna taarifa za kutosha unasoma Uhuru, Habari Leo, Jamvi la habari na Tanzanite!
 
Walipowaondolea "Bunge live" walijua haya ndio yatakuwa matokeo. Huna taarifa za kutosha unasoma Uhuru, Habari Leo, Jamvi la habari na Tanzanite!
Wewe hujui unaloliongea, njoo na hoja sio vioja vya bunge live. Bunge kuwa live kunamsaidia vipi shangazi yako kule kijijini?.
 
tunaojua jins neo colonialism inavyofany kaz katika nchi za ulimwengu watatu hatupat shida, mwacheni jpm afanye kazi , hizo ni propoganda tu za mabepari ,watanzania sujui tunatak nn ,yani elimu.bure, reli ya kisasa, mrad wa kufua umeme , vituo vya afya kila kona vinajengwa na kuboreshwa,angalia hosp ya benjamin m dodoma kwaajili ya wagomjw wa moyo ,tuacheni utani jpm ni level nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
elimu bure na vitambulisho vya ujasiliamali mpaka kwa ma barmade??? tulia hapo hapo CAG nae ni neo colonialism??? ndugu i love my president when its comes kwenye ukweli na uadilifu kama kuna shaka kwangu si mpumbavu nisihoji..... itapendeza kama serikali itakuja na hoja na si ngonjera ya eti ni wivu kutoka kwa mabeberu......
 
Back
Top Bottom