Wizi TRA

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
519
Hivi TRA ni taasisi ya kukusanya kodi au kutuibia na kutukamua siye masikini tunaonunua mikweche iliyotumika Japan.haiwezekani mtu umenunua mkweche wako hadi unafika nchini kwa milioni tatu then unaambiwa ushuru milioni nane huu ni wizi mtupu eti wanasingizia oohhh magari haya tumeyawekea bei zetu huu ni wizi huwezi kuipangia gari bei ya juu kwa iliyo nunuliwa wizi mtupu!!! hivi hawaoni trade car view kuna gari hadi za dola 800 dola mia 700 ukiweka na usafiri dola 1000 inakuwa 1700 sawa na mil 3!!!! sasa kwanini mnatuumiza siye masikini hakyanani kuna magari mengi yamerundikana bandarini sasa hv watu wameshindwa kulipia kodi sasa huku ni kuumizana na wizi tuuuu basi wenye fedha tu ndo wataendelea kuendesha magari kwa ufisadi kama ndo njia ya kukusanya kodi mmcechemka big tyme tafuteni vyanzo vingine na si kuwakamua masikini sasa gari ni anasa kweli tutaendelea kuwa masikini tuuuu!!!!
 
Kutoka kituo cha basi hadi nyumbani ni mwendo wa dakika 45 kwa mguu ndo mana nikaagiza mkweche uwe unanisaidia hasa nikiwa na mizigo sasa imekuwa balaa kwa njia zilivyo mbovu!!
 
Hiyo niliipata mwezi uliopita.
Nami niliagiza kagari kangu kadogo ka kuzugia pale bei ya mafuta inapopanda,
Kwa aili ya kusevu cost nikakaweka kwenye "40 feet" na Rav 4 ya dada mmoja hivi ya Short Chassis pamoja na mengine mawili, jumla manne,
Tena tukataka kulitoa container zimazima kama la mtu mmoja kisha likishatoka ndio tugawane chetu.
Sasa kwenye TANSAD uchwara za hawa wezi TRA ikasoma jumla 16Mil ambapo Rav 4 ya huyo dada peke yake ushuru ni 9mil,
Wote tushachanga zetu tunamsubiri huyo dada atafute hizo 9mil na mwezi ushapita,
Tunasubiri baado ya hapo tulambwe demur. charges, na kama sivyo basi container litaifishwe wachukue 16mil zao.
Wezi sana hawa jamaa!!
 
Hayo ndiyo mapato jamani ili tuendelee kukiweka chama madarakani lazima mapato yatumike kununua kofia,fulana,skafu na bendera kwa masikini hauoni kama ni maendeleo hayo?
 
Back
Top Bottom