Wizi Mwingine Vodacom

Thomas10

JF-Expert Member
Mar 9, 2017
841
2,268
Unapokea ujumbe kutoka vodacom ofa unaokuomba radhi kwa matatizo ya kifundi ya siku iliyopita (mfano jana) na unaonesha kukufuta jasho kwa ofa kidogo...
Ujumbe unatoa maelekezo namna ya kupata hiyo futa jasho yako...na unajaribu kufuata maelekezo yake
Kama una salio basi utaliwa kiasi chochote watachotaka wao kuchukua
Screenshot_20180510-132832.jpg
Screenshot_20180510-132923.jpg
Screenshot_20180510-132932.jpg
Screenshot_20180510-134444.jpg
 
Ukiwa mpenda kitonga ndio shida hiyo. mtu kama mimi hata nikipata meseji kama hiyo wala siishobokei
 
na kuna kale ka mchezo ka kuungwa katika voda games ili wakule kavocha... ukija kushituka washapiga mpunga... una ungwa bila kuungwa//

nikizipata hizo sms huwa nawapigia papo hapo na kuwa uliza hii sms mna niletea kuwa nime jiunga... ebu semeni ni lini... hawana majibu na wapa optn moja tu waniondoe sitaki hizo huduma zao, kulipia huduma husio itumia
 
Back
Top Bottom