Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 17,378
- 21,070
Kwa nyie wauzaji wa kuku kuweni makini sana na wateja wenu wanaonunua kuku kwa jumla kwani wengi wao wanatumia kipapai wakati wanakuja kununua
Kwa mfano wanaweza wakaja wakwakwambia wanahitaji kuku 200 halafu baadaye wakaghairi wakakwambia uwarudishe kuku 50 kwenye banda lako kwani hawawezi kuwabeba wote ,wewe kweli utaona kama unawarudisha bandani kumbe wala ndo kwaaanza unawapakia kwenye gari lao
Au unaweza ukaona wameshika kuku mmoja mmoja na wewe ukaona hesabu zako zipo poa kumbe wala ushaibiwa tayari wenzako wamebeba kuku wanne wanne
Hii ndio tabia chafu inayowatajirisha watu siku hizi kwa kuwaibia wengine
Leo naishia hapa siku nyingine nitakuja kutoa solution ili usiibiwe