Wizi mpya wa kuku wa jumla wagundulika

Status
Not open for further replies.

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,374
21,068
Kwa nyie wauzaji wa kuku kuweni makini sana na wateja wenu wanaonunua kuku kwa jumla kwani wengi wao wanatumia kipapai wakati wanakuja kununua

Kwa mfano wanaweza wakaja wakwakwambia wanahitaji kuku 200 halafu baadaye wakaghairi wakakwambia uwarudishe kuku 50 kwenye banda lako kwani hawawezi kuwabeba wote ,wewe kweli utaona kama unawarudisha bandani kumbe wala ndo kwaaanza unawapakia kwenye gari lao

Au unaweza ukaona wameshika kuku mmoja mmoja na wewe ukaona hesabu zako zipo poa kumbe wala ushaibiwa tayari wenzako wamebeba kuku wanne wanne

Hii ndio tabia chafu inayowatajirisha watu siku hizi kwa kuwaibia wengine

Leo naishia hapa siku nyingine nitakuja kutoa solution ili usiibiwe
 
Pia ogopa wale wanunuaji wa kuku wanaokuja alfajiri au ile asubuhi sana.

Wizi wanaufanya pale wakati wa kubeba wanakamata kuku wanne wanaonesha wawili.

Ila kikubwa ni wewe mwenyewe kushiriki kikamilifu ktk hilo zoezi. Usiwape mwanya hata kidogo watakuibia.
 
Nyie ndiyo hamjui yaani wakati majadili bei na idadi ya kuku anaohitaji hakikisha una sime lilinolewa vizuri na shoka pembeni uone kama atafanya ujinga wake
bobu wale wakikuongelesha tu ukijibu washakuteka akili yako wanakuibia kirahisi bila wewe kujua

Mfano wanaweza wakachukua idadi ya kuku wengi halafu baadaye wakakwambia wameghairi wanataka kuwapunguza wanakupa wewe uwarudishe bandani

Kwa kawaida utaona kweli unawaingiza bandani kumbe wala huwaingizi bandani kwako wala nini bali unawaingiza kwenye usafiri wao
 
Wazuri hao wape onyo kabisa ukiwweka panga na shoka waache wahesabu kabla ya kuondoka ingia ndani toka na panga waambie tunahesabu upya wataogopa na kuingiwa hofu na ukikata kuushinda uchawi au juju yeyote piga mkwala wa nguvu tu.
 
Ukirudisha waweke kwenye banda la peke yao uone kama watapotea
 
Wazuri hao wape onyo kabisa ukiwweka panga na shoka waache wahesabu kabla ya kuondoka ingia ndani toka na panga waambie tunahesabu upya wataogopa na kuingiwa hofu na ukikata kuushinda uchawi au juju yeyote piga mkwala wa nguvu tu.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom