Wizi mpya Bandarini: Makontena 11,884 na Magari 2,019 yapita bila kulipa Ushuru, Polisi waanza Msako

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,485
Makontena 11,884 yamebainika kutolewa bandarini bila malipo na kulisababishia Taifa hasara ya bilioni 47.4 Pamoja na magari 2,019 yalitolewa bila kulipiwa ambapo makontena hayo ni tofauti na yale ya Waziri Mkuu Majaliwa.

Kufuatia hali hiyo, Watumishi 7 wa bandarini wanashikiliwa na Jeshi la Polisi na wengine 8 wametoroka na wanaendelea kutafutwa na Jeshi la Polisi.

Waliokamatwa hadi sasa ni;
eb2b31bae6379d4957515a7bff02875a.jpg

2643eb0ed694cc94ac5a26995f024ced.jpg
 
Last edited:
Makonta 11,884 yamebainika kutolewa bandarini bila malipo na kusababisha hasara ya bilion 47.4.

Pamoja na magari 2019 yalitolewa bila kulipiwa ambapo makontena hayo ni tofauti na yale ya Waziri Mkuu majaliwa.

Kufuatia hali hiyo Watumishi 7 wa bandarini wanashikiliwa na jeshi la polis na wengine 8 wametoroka na wanaendelea kutafutwa na jeshi la polisi.
hivi hayo makontena ni ya dar tu...? je bandari nyingine yanapita "maguta " tu..?

AZAM again...? tena kontena 295 , na hao jamaa wengine nao ni sheeda.
pia kuna kabila moja maalufu sana kwa "changa la macho" nimeona
majina yake sehemu zote mbili kwa waliokamatwa na wanaotafutwa, hivi ili kabila kunani..?
 
Last edited:
Makonta 11,884 yamebainika kutolewa bandarini bila malipo na kusababisha hasara ya bilion 47.4.

Pamoja na magari 2019 yalitolewa bila kulipiwa ambapo makontena hayo ni tofauti na yale ya Waziri Mkuu majaliwa.

Kufuatia hali hiyo Watumishi 7 wa bandarini wanashikiliwa na jeshi la polis na wengine 8 wametoroka na wanaendelea kutafutwa na jeshi la polis
du hata mwezi haujapita au ilikuwa kabla ya tumbua t
umbua
 
Tumbua tumbua baba maana hali ilishakuwa mbaya, haka kanchi kalikuwa kakitafunwa mchana, usiku ni kutafunwa tu
 
Back
Top Bottom