Wizi mkubwa kwenye huduma za mtandao wa Vodacom

My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,932
13,283
Kampuni ya simu za mkononi Vodacom imeanzisha Tabia ya kuibia Watanzania. Wizi huo unafanyika kwa njia za kuwatega wateja kwa SMS wajiunge na Ofa maalumu Kama mpira na nk, ukishajiunga unaanza kukatwa Tsh 500 kwa siku, ukitaka kujitoa hata ufanyeje huwezi.

Wizi mwingine ufanyika kupitia miamala ya malipo kwa kampuni na huduma ya wateja wameitoa ili waibe vizuri.

Tunakusanya signatures ili kuipeleka Vodacom mahakamani.

TISS madhara ya kuajiri "kamlete" ndo haya sasa, hamjui hata Watanzania wanavyoibiwa.
 
Back
Top Bottom