misoza Gete
Member
- Sep 28, 2012
- 57
- 20
Wadau,sasa muda wa kuachana na mabenki,umefika.Nadhani tuanze kutunza home kama zamani.Juzi nikiwa dodona nimevisit akaunti yangu ndani ya siku 5 jamaa wameniibia Million 5.Kibaya zaidi wanadai nisubiri uchunguzi ndani ya siku 45,shida ziko pale pale na mambo yangu yamekwama yote.Ni nani kaibiwa ni Nbc kupitia akaunti yangu au mimi?Hebu wadau tupeane mbinu ya kufanya ili hela yangu irudi na wateja wengine.Binafsi sina imani na mabenki sasa.Pamoja na mafuru na ndulu kuona tatizo hili ila nina hasira sana.