Wizi kwenye atm NBC,Dodoma na popote nchini.

misoza Gete

Member
Sep 28, 2012
57
20
Wadau,sasa muda wa kuachana na mabenki,umefika.Nadhani tuanze kutunza home kama zamani.Juzi nikiwa dodona nimevisit akaunti yangu ndani ya siku 5 jamaa wameniibia Million 5.Kibaya zaidi wanadai nisubiri uchunguzi ndani ya siku 45,shida ziko pale pale na mambo yangu yamekwama yote.Ni nani kaibiwa ni Nbc kupitia akaunti yangu au mimi?Hebu wadau tupeane mbinu ya kufanya ili hela yangu irudi na wateja wengine.Binafsi sina imani na mabenki sasa.Pamoja na mafuru na ndulu kuona tatizo hili ila nina hasira sana.
 
Haa haa haa! Monkeys business! Tamaa za vijana wa kitanzania kutajirika bila kutoa jasho. Wanataka walale maskini waamke matajiri. Ni hivi: Wizi mwingi unaotokea kwenye account za wateja kwenye benki za Tanzania chanzo chake ni wafanyakazi wa hizo benki! Ni mara chache sana watu wa pembeni wanaweza kuchonga dili wenyewe!
 
... NBC inakosa mwelekeo kwa sasa! Kuna wafanya biashara kwa kushirikiana wafanyakazi wamejikopesha mabilioni bila ya kufuata utaratibu!
... Kwa ujumla kuna baadhi ya wafanyakazi wa NBC ambao siyo waaminifu, na ndiyo wanaofanya uporaji katika benki hiyo...
 
Hakuna Benki hapa Nchini yaani zote ni Wizi
mtupu yaani pesa unaitafuta kwa jasho
unapokwenda itunza si salama watu wanaveba
taratibu hata aibu hawana.

Sehemu salama ni :-

Shamba kwenye migomba
Sanduku bubu nyumbani
 
Kuna kitu kinaitwa card skimming google upate elimu ya wezi wanavyoiba kwenye atm worldwide na sio tatizo la Tanzania pekee
 
....weka hela nyumbani uone chamoto, badala ya kuvunja ATM watavunja kichwa chako... tatizo la wizi wa kwenye ATM sio bongo pekeee,kama ni mfuatiliaji mzuri wa taarifa za kimataifa juzikati walitangaza jamaa waliiba millions of dollar huko USA baada ya kufanikiwa kuhack system za benk wakatengeneza kadi ambazo hazina limit ya kutoa pesa na wakazilink na akaunt za makampuni makubwa na za watu binafsi wakazigawa zile card kwa vijana wao wa kazi ndani ya masaa mawili tu wakabeba mzigo wa kutosha kwa mpigo....
 
Wadau,sasa muda wa kuachana na mabenki,umefika.Nadhani tuanze kutunza home kama zamani.Juzi nikiwa dodona nimevisit akaunti yangu ndani ya siku 5 jamaa wameniibia Million 5.Kibaya zaidi wanadai nisubiri uchunguzi ndani ya siku 45,shida ziko pale pale na mambo yangu yamekwama yote.Ni nani kaibiwa ni Nbc kupitia akaunti yangu au mimi?Hebu wadau tupeane mbinu ya kufanya ili hela yangu irudi na wateja wengine.Binafsi sina imani na mabenki sasa.Pamoja na mafuru na ndulu kuona tatizo hili ila nina hasira sana.
pole mkuu wa kazi
 
wafungulie mashitaka kwa benki za nje kama ukiibiwa wakati pesa umeweka benki unalipwa mara moja kwa sababu zina bima kwa hapa sijui ingawa sheria za benki zote duniani kwa mambo muhimu inabidi ziendane tafuta wakili mzuri wafungulie kesi waje walipe na fidia maana wamezoea
 
du nimeacha kuweka ela benk kitambo, na nilikuwa na akaunti zaidi ya tatu, sasa hivi iliyobaki ni 1 tu ya mshahara, na ukiingia nakomba zote, naweka kwenye mzunguko, viakiba vingine kwnye maficho ya home.
 
haa haa haa! Monkeys business! Tamaa za vijana wa kitanzania kutajirika bila kutoa jasho. Wanataka walale maskini waamke matajiri. Ni hivi: Wizi mwingi unaotokea kwenye account za wateja kwenye benki za tanzania chanzo chake ni wafanyakazi wa hizo benki! Ni mara chache sana watu wa pembeni wanaweza kuchonga dili wenyewe!
nonsense
 
... Nbc inakosa mwelekeo kwa sasa! Kuna wafanya biashara kwa kushirikiana wafanyakazi wamejikopesha mabilioni bila ya kufuata utaratibu!
... Kwa ujumla kuna baadhi ya wafanyakazi wa nbc ambao siyo waaminifu, na ndiyo wanaofanya uporaji katika benki hiyo...
km pesa inaonekana imetoka kwa atm mfanyakazi anahusikaje hapo? Hilo ni tatizo la wezi wanaoweka skimming devices kwenye atm na lipo hata ulaya. Tena cha kuskitisha wezi wenyewe ni foreigners ambao wana utaalamu wa kutosha jinsi ya kuwaliza watu.
 
Hii ni kweli yametokea, sehemu nyingine wafanyakazi wa benki wanaiba kidogo kidogo, ukija juu wanarudisha.
 
ni mara ngapi wafanyakazi wanahusika na wizi wa pesa za mteja ..na saa ingine hata husimamishwa kazi?

Unajua unachokitetea?
ndio najua nnachokitetea. Mleta mada kasema kaibiwa through atm machine, hapo means lazima hela iwe imeibiwa through atm. Either kwa card na pin no. Yake au kwa wezi wanaotumia skimming divices. Na wewe hujanitendea haki kwa kuniita mm ni mmoja ya hao wezi. Nkikutukana utasema nimekukosea heshima?
 
Back
Top Bottom