delusions
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 5,007
- 2,000
Hawana vipimo wanakadiria tu kwa kumwagia condenser mimaji hawqna kipimo kinachoonyesha gesi kiasi gani imeingia wakisikia ubaridi unatoka kidog tu wanafunga mtungi wanadai gesu imejaa mathalan magari mengi compressor zinahitaji ujqxo wa 0.65-0.75kg na nyingine 1kg lakini hawa mabwana wa gesi wqbachakachua matokeo yake ac inakuwa haina nguvu unashangaa kuona tofauti Kabla na baada ya kutengenezewa ac daini vipimo na ujue Gari lako linahiaji gesi ya ujazo gani