wizi huu wa kura hadi lini?mawakala kaeni chonjo

evaluator

Senior Member
Feb 15, 2011
181
50
Mpaka sasa CHEDEMA mnaongoza kwa kishindo,kijani na njano 2medata 2najipanga 2wachakachue kule vijijini ucku huu. Jamani hii nimetumiwa na mtu ambae anausika na chombo cha usalama.mawakala kueni makini
 
It sounds louder but strange!!mawakala chondechonde.
 
WanaJF mliopo anga hizo wajuzeni Makamanda waongeze nguvu pale mara moja,Jamani hakuna kulala mpk KIELEWEKE! Tumechoka jmn na serikali LEGELEGE yenye msemo huu,"KITAMBI MBELE MAENDELEO NYUMA"
 
Back
Top Bottom