Wizi huu wa bodi ya mikopo ni wa kukemewa-wanaodaiwa na board tuamke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizi huu wa bodi ya mikopo ni wa kukemewa-wanaodaiwa na board tuamke

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by luckman, Jun 9, 2011.

 1. l

  luckman JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Nimepokea kwa masikitiko sana taarifa ya bodi ya mikopo baada ya kutuma barua kwa mwajiri wangu juu ya marejesho ya pesa niliyokopwa wakati nasoma
  ni jambo zuri kulipa lakini ugumu wa suala hili unakuja pale makubalianao yanapokiukwa na kutumia ubabe usio wa lazima.
  makubaliano yetu yalikuwa ni kulipa ndani ya miaka 10 amabalo ni jambo zuri ili wadogo zetu wasome, kwa taarifa iliyopo ni kwamba inatakiwa kila anayedaiwa akatwe 10% ya gross salary yake NA HAIJALISHI UNAPATA SHILINGI NGAPI KWA MWEZI, kitu amabacho kinaumiza na kinyume na makubaliano.tunaomba wizara husika au wahusika wenyewe watueleze undani wa hii habari, inasikitisha kuona serikali inakuwa ya kwanza kuvunja sheria iliyoitunga yenyewe.

  WADAU HII IMEKAAJE MBONA SERIKALI HII INAZIDI KUTUUMIZA???naomba kuwasilisha
   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Washindwe!
   
 3. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Mimi mshahara wangu 90,000/=,...........hamna noma
   
 4. l

  luckman JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Inawezekana aliyosema zito kuwa hawana pesa ni kweli ndo maana waanza kulazimisha malipo kwa kuvunja sheria!
   
 5. mchakavumlasana

  mchakavumlasana JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  inasikitisha sana,ndo makubaliano yaliyosainiwa kwenye fomu wakati mnajaza kuomba huu mkopo? Badala wafikirie jinsi ya kuwapata waliowakopesha kwa wingi wao wanawaza jinsi ya kuwakamua hawa wachache! Mkikubali imekula kwenu
   
 6. Officer2009

  Officer2009 JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Ukikopa benki kiasi ulichokopeshwa na bodi ya mikopo; je utakatwa asilimia ngapi kwenye mshahara wako? Watanzania tusiwe watu wa kulalamika na kujipenda tu. Wengi wanataka kusoma kupitia bodi ya mikopo. Let's think of others, stop being selfish!
   
 7. Cassava

  Cassava JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 282
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kaka/dada Umenena wazo lako nimelichukua kama lilivyo- nitaenda kukopa benki niwalipe tuishane.
   
Loading...