Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizi hata police

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sinafungu, Oct 20, 2011.

 1. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Wiki ya nenda kwa usalama. kumekuwepo ukaguzi wa nguvu toka kwa matrafik, wenye magari wanalazimika kukata stika na kuibandika ktk gari yako, hata kama gari yako ni mpya huna budi kulanguliwa stika kwa gharama kuanzia tsh 5000/= na kuendelea ili hali bei halisi ni tsh 3000/=. kuna tetesi kuwa umetokea wizi huko wa vitabu vya stika hizo na vehicle inspector 6 wako ndani kwa tuhuma hiyo , zoezi la kupata stika limesimama hadi wiki ijayo, hivi kumbe hata polisi kuna wezi.....? mwenye taarifa jamani atudadavulie hawa jamaa (trafic) NI WATU AMBAO SIWAPENDI KIUPITA MAELEZO.
   
 2. TEMPOLALE

  TEMPOLALE JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ebwana hata mimi nimeipata hii. inasemekana zimeibwa sticka za M20. Kwa hiyo chukua tahadhari sna na ununuzi wa sticka maana inaweza ikaangukia kwenye range ya zilizoibiwa na ukatakiwa kuwasaidia ili apatikane aliye kuuzia, japo naamini hata ukimpata talindwa na system baadaye itagundulika wewe ndiye uliyeiba...kumbuka msemo wa aliyekamatwa na ngozi............
   
Loading...