Wizaya ya Habari na Michezo watolewa nje ya ofisi!!

Kisoda2

JF-Expert Member
May 30, 2008
2,475
745
Leo hii wizara hii imeshindwa kufanya kazi baada ya NHC kuwatolea vyombo vyao nje!!
wnadaiwa zaidi ya Shs 300ml na shirika hilo.
na ofisi ya Habari maelezo nayo vyombo nje pia.

source:Radio one breaking news at 1125hrs.
 
hawa ndo wahujum wa maendeleo ya taifa!pesa zote wanakula tu badala ya kulipa madeni!
 
Walioko karibu na hizo sehemu watujuze zaidi, maana hii ndo njia mojawapo ya kuzipata pesa kuliko kukaa na kulalama tuuu hatuna hela kumbe kuna mijitu imekula pozzzzzzzzzz na mihela youte hiyo.
 
Leo hii wizara hii imeshindwa kufanya kazi baada ya NHC kuwatolea vyombo vyao nje!!
wnadaiwa zaidi ya Shs 300ml na shirika hilo.
na ofisi ya Habari maelezo nayo vyombo nje pia.

source:Radio one breaking news at 1125hrs.

Aisee! Wizara kushindwa kulipa gharama za pango?!! Ngoja tusubiri habari kamili, hii inanikumbusha sakata la wafanyakaz kutopewa kima cha chini 315,000. Huenda kweli serikali haina fedha au kuna wakubwa wanakamua kodi za wavuja jasho hadi tone la mwisho. Kaz ipo.
 
siyo wanakamua bali hata hivi juzi malipo ya watumishi yamechelewa watu tulikuwa tuna hakikisha Igunga inarudi CCM.
 
Safi kabisa.

Na sasa tunataka Dawasco na Tanesco wawapeleke kortini mashirika na wizara zote zinazodaiwa, yale mambo ya kusema eti sie ni shirika la umma au wizara hatukatiwi maji, umeme wala kulipa kodi, yamepitwa na wakati, ukweli tunajua mahela ya kulipa hizi bills zote huwa zinawekwa, ila wajanja na mafisadi wanazitafuna.

Kuna kama kamwelekeo kazuri nchi yetu inakwenda, tukiendelea na kasi hii, maendeleo makubwa tutapata.
 
Hii ni aibu ya mwaka.Naomba sana hili zoezi liwe endelevu,Tanesco na Dawasco nao waamke sasa
 
Pesa imeishia Igunga!

Dr+Emmanuel+Nchimbi+akisindikizwa+kuhutubia+uwanja+wa+Majimaji+Songea+leo.jpg
 
Inamaanisha serikali haina budget kwenye wizara hiyo mpaka ifikie hapo?
 
ndivyo mashirika ya uma yanavyofilisiwa kwa kudhamiria!!!!!!!!!!!! kesho na kesho kutwa utasikia NHC inajiendesha kwa hasara............ tubinafsishe!!!!! huu si mkakati wa kusukwa? ni kweli bajeti inayopitishwa bungeni ina exclude rent?? wahasibu hebu tusaidieni hapa.
 
Duh....kwa mwendo huu huyo "dogo" wa NHC watamkoma!
 
Leo hii wizara hii imeshindwa kufanya kazi baada ya NHC kuwatolea vyombo vyao nje!!
wnadaiwa zaidi ya Shs 300ml na shirika hilo.
na ofisi ya Habari maelezo nayo vyombo nje pia.

source:Radio one breaking news at 1125hrs.

Wanakula mpaka hata pango wanasahau!Aibu sana.Sasa mtakulaje?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom