Leo hii wizara hii imeshindwa kufanya kazi baada ya NHC kuwatolea vyombo vyao nje!!
wnadaiwa zaidi ya Shs 300ml na shirika hilo.
na ofisi ya Habari maelezo nayo vyombo nje pia.
source:Radio one breaking news at 1125hrs.
siyo wanakamua bali hata hivi juzi malipo ya watumishi yamechelewa watu tulikuwa tuna hakikisha Igunga inarudi CCM.Aisee! Wizara kushindwa kulipa gharama za pango?!! Ngoja tusubiri habari kamili, hii inanikumbusha sakata la wafanyakaz kutopewa kima cha chini 315,000. Huenda kweli serikali haina fedha au kuna wakubwa wanakamua kodi za wavuja jasho hadi tone la mwisho. Kaz ipo.
Hawa hawana huduma ya uhakika.Hii ni aibu ya mwaka.Naomba sana hili zoezi liwe endelevu,Tanesco na Dawasco nao waamke sasa
Nchimbi.........
Kakimbia na masunduku ya kura