Wizara zinatuhumiwa na ufisadi,si halali kuandaa bajeti juni-julai 2012,watazidi kutuibia tu.

Feb 9, 2012
26
10
kutokana na taarifa za kamati mbalimbali zilizowasilishwa bungeni hivi karibuni kuonesha uozo mkubwa wa ufisadi wa mabilioni ya fedha katika wizara nyingi​ hazina sifa ya kuandaa bajeti mwaka huu.Fedha nyingi za walipa kodi zilizokuwa kwenye bajeti mwaka jana zimeliwa na wajanja wachache kwasababu hiyo bajeti yoyote itakayoletwa na wizara mojawapo mwaka huu ni utapeli----uongo mchana kweupe.
  • Wizara zote zinahusika na ufisadi la kwanza ni lazima kurudisha fedha zote zilizoibiwa na wezi lazima kuwajibishwa kama fundisho kwa kizazi kijacho.
  • Watanzania wenzangu tusikubali kusikia bajeti ya mwaka huu katikati ya wizi mkubwa kiasi cha kutisha kutoka wizara hizi zilizoiba fedha zetu."tusidanganyike!"
Ombi:
wanaharakati tuvae silaha za vita tukijua kuwa bajeti mwaka huu si halali,tupinge kwelikweli fedha zote zilizoibiwa kwanza zirudi ndo bajeti ifuate.
N
aomba kuwasilisha......mimi sioni uhalali wa bajeti ijayo,wewe je?
 
Back
Top Bottom