Wizara zetu hazieleweki. Ila Elimu, Ardhi na Miundombinu "zitakufa" mapema zaidi

Fatma-Zehra

Senior Member
Oct 18, 2020
192
1,062
Hakuna kiongozi wa wizara ya Elimu (hawa wapya) anayefahamu matatizo ya elimu yetu. Elimu yetu inaweza kufa kabisa. Soon, very soon, Presdent Samia atafanya mabadiliko tena. Kule ardhi mama ameshauriwa vibaya. Lukuvi anaweza kutolewa na ardhi isiyumbe. Ila katibu mkuu wake, yule Mary, hakutakiwa kutoka. Time will tell. Yule Dada anaichukia rushwa kwa vitendo na ndiye engine ya mabadiliko ya ardhi toka akiwa commissioner. I know her. Mama asihangaike sana na mawaziri. Shida iko hapa kwa permanent secretaries. Angelina ni shosti mzuri lakini she's not tough. Mwaka huu she expects to turn 60 I think. Ridhiwani ana moyo kama wa baba yake. Moyo wa upendo. Kwa bahati mbaya, Ridhwani is incompetent. Hana uwezo. Hana tofauti na Ummy Mwalimu pale afya. The beautiful mom lacks leadership skills. Dorothy alihitajika sana katika hii wizara au TAMISEMI ili kuondoa uozo. Kwa sasa nchi yetu inahitaji kuweka mifumo ya ku-forge efficiency na kuondoa corruption.

Prof Makame is not tough na hajui aanze kipi na asimamishe au amalizie kipi.

Kwa watumishi wa umma, nafikiri kuondolewa kwa Mchengerwa imekuwa pigo kubwa sana kwenu. Siyo kwamba mchengerwa is unique, ila alikuwa na attitude kama ya President Samia - yaani hawana roho ya kwanini. Jenista na huyu katibu mkuu aliyebaki bado wanaamini katika "administration" na siyo "human capital management". Kwa mfano, sina uhakika kama KM au Jenista wanafahamu kuwa in the next 17years, taifa litakuwa limeingia hasara kwa sababu ya kutokupandishwa madaraja kwa wakati na kutokuajiriwa kwa watumishi wanaostahili kuanzia kipindi cha President Mkapa?Huu ni mfano rahisi ambao "national security advisor" wetu alitakiwa amwekee Samia mezani. Kutokuajiri na ku-promote watumishi mwaka 1996 hadi 2000 kumezalisha weak institutions particularly research institutes, higher learning, health systems, judiciary etc etc. The same mistake was repeated by President Magufuli. Kwa mfano, unapoamua kuandika barua kuwa watumishi wawe promoted baada ya four years instead of three years iliyoko kwenye system zao, unaongeza hasara ya ambaye angekuwa daktari bingwa wa magonjwa fulani kushindwa kutengeneza juniors kadhaa in the period beginning with a "lost year". South America wanalia kwa sasa maana "incompetent" staff wameongezeka sana. I still advise my president to have a competent "national security advisor".

Ninahitaji makala kubwa sana kuuchambua mfumo wetu wa serikali na utendaji kazi wake. My family lives in Tanzania and it has invested in this country. Nimeona deficiencies nyingi sana kwenye mifumo yetu ya serikali hadi usalama. Nikijaliwa, nitashauri namna ya kuunda mfumo wetu wa security and intelligence tena free of charge kabisa. Nitaishauri CCM pia. Ni chama kizuri chenye somewhat a few " wrong people". Unfortunately, mifumo ya hii dunia, naona ina mpango wa kukifuta hivi karibuni ikisaidiwa na wanaCCM wenyewe. Nimeshatoka tena kwenye mada!!!.

Mama bado anahitaji bunge imara na mahakama imara. Mama anahitaji mshauri mwenye uelewa wa mambo tena kiwango cha juu sana.

Siku moja nilialikwa dinner na family friend wangu ambaye anafanya kazi WH kwa sasa. Hawa walikuwa rafiki zangu maana walikuwa wanasoma darasa moja na "mchumba" wangu ambaye tuliachana kwa sababu mbili kubwa. 1. Dini 2. Alitaka kunifanya kabla ya ndoa. Katika hiyo dinner nilikuwa na huyu "mchumba" wangu. Waliandaa ile dinner ili tuzungumze namna ya ku-invest either Africa au South America tutakapokuwa wakubwa. Katika ile dinner, nilishangaa badala ya kuzungumzia biashara, wakasema we need dozens of intelligence reports zinazoonyesha nchi husika zitafanana vipi (in terms of security and intelligence) in the next 25years. Wakamalizia kwa kusema, wangehitaji kuona sura ya elimu na ardhi kwa miaka 25 ijayo. Nilishangaa sana. Leo nimewakumbuka sana. Mnisamehe kwa uandishi mbaya.
 
Mama Angelina Yuko vizuri, mtamuona tu, alikuwa chini ya kivuli
 
Hili la Utumishi wa umma nilikuwa nataka kuandika uzi,moja ya content Ni hasara inayoipata serikali kwa kutopandisha madaraja watumishi wa umma kwa muda halali kisheria.Mh.Mchengerwa alikuwa na vision kubwa sana,Sasa Huyu mhagama hana lolote.
 
Umeandika vizuri sana, ila hapo kwa mchumba alietaka kukufanya kabla ya ndoa ulitaka kusema nini.?
 
Hayo uliyoandika yangetekelezeka kwa ufanisi kama taifa lingejiwekea tabia za ushindani kwenye kila sekta, watu wahoji na wajibiwe kwa hoja pia, sio kutishwa.

Mama kweli anahitaji bunge imara lakini kwa mazoea CCM waliyojiwekea, anaogopa bunge likiwa imara litamfanya aonekane dhaifu/hafai. Hii ndio sababu ya hili taifa kudumaa kimaendeleo, CCM wanaogopa ushindani kwao ni uadui utawindwa hata kwa risasi.

Hoja zikionekana zina manufaa zifanyiwe kazi bila kujali ni za upinzani au CCM, sio kusutana tu hata kwa jambo lenye maslahi kwa taifa.

Ndugai alihoji kidogo tu akaishia kusutwa, na huyu Tulia ndio ameshatulizwa, anaogopa wembe uliomnyoa mwenzake usije kumnyoa naye, anadai Rais ndio taasisi kubwa zaidi.
 
Back
Top Bottom