Wizara ya Ustawi wa Jamii Ipo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizara ya Ustawi wa Jamii Ipo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dingswayo, May 19, 2011.

 1. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Nimekuwa nikiona katika vipindi vya habari vya ITV watu wenye matatizo mbalimbali wanaomba misaada kutoka kwa wasamaria wema. Je ile wizara ya ustawi wa jamii ipo? Na kama ipo kazi yake ni nini?
   
 2. mapengo junior

  mapengo junior JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  me naona haipo,coz haifanyi kaz ipasavyo..ubabaishaj mwingi.
   
 3. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Duh! sidhani kama ipo maana kama ipo inafanya shughuli gani?? kila kukicha tunaona NGOs zikifanya kazi zake na wafadhili kama kina VOda kwa watoto na kina mama, the same as TBL and so! sasa hii wizara afadhali ifutwe tu! wanakula pesa na nataka sana kujua bajeti yao ilikubaliwa na imemlenga nani?? au ndio mambo kama yale ya Nishati ???
   
Loading...