Avocado
Member
- Aug 23, 2010
- 97
- 4
Katika wizara ambazo moja kwa moja nimekuwa na imani zinaweza kufanya vizuri ni wizara ya Ujenzi chini ya John Pombe Magufuli na Harrison Mwakyembe,kwa kifupi mbali na udhaifu wa kibanadamu hawa ndugu wanaweza kuifanya wizara hiyo iwe na mafanikio zaidi,kiutendaji Magufuli tunamfahamu,ndugu zangu wa wizara hiyo kaeeni chonjo !