Wizara ya sheria na katiba kuwachukulia hatua kali wanaotupa pesa chini kwenye tafrija

Kuna mwanafunzi mmoja wa form six katika mahafali yake ya kuhitimu kidato cha sita, yeye alivalishwa shada la noti za elfu kumi kumi, haijulikani kama mamlaka za fedha waliona noti hizo zilizotobolewa na kuingizwa uzi zivaliwe kama shada la maua
 
Back
Top Bottom