Wizara ya sheria na katiba kuwachukulia hatua kali wanaotupa pesa chini kwenye tafrija

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
6,377
2,000
Wizara ya sheria na katiba imetoa onyo kali kwa watanzania wenye tabia ya kuwatunza watu pesa kwa kiwatupia chini jambo ambalo ni kinyume na sheria

Imewatahadharisha watanzania kuwa sheria kali itachukuliwa ikiwa ni pamoja na kifungo ,

Kwa wale wenye tabia za kutoa pesa kwa kuzitupa chini kwenye sherehe,harusi, mahafari, kanisani na n.k wanatahadhalishwa kuwa sasa jeshi la polisi limepewa maelekezo kuchua hautau kali

USSR
Screenshot_20211022-192711.jpg
 

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Jul 27, 2017
4,905
2,000
Wizara ya katiba na sheria tenaa?, Hili lingesemwa na BoT then hii wizara itoe elimu sio 'Onyo', kazi ya 'Onyo' kwa mtazamo wangu sio ya kwao.

Watanzania hawajui sheria husika, hawa ndio walitakiwa kuwaeleza. Anyway Prof tenaa.
 

Nipo huru

JF-Expert Member
Jul 20, 2021
1,213
2,000
Nchi hii wenye madaraka wanapenda sana kushughulika na vitu visivyo na maana yoyote! Kwani huyo anayetupiwa mwisho si uziokota,sasa tatizo lipo wapi.
 

kacnia

JF-Expert Member
Sep 16, 2014
3,187
2,000
sasa hivi tungekuwa tunajadili kuweka cctv camera mitaani kwa ajili ya ulinzi kwa wananchi wote wanaotuza pesa na wasiotuza pesa
 

Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
14,041
2,000
KUNA MAMBO MENGINE YANAONESHA NI NAMNA GANI HAWA MAJUHA HAWAFAI KUTUONGOZA??
Watnzania walio wengi hawajui hawana uelewa wa somo la uraia wewe ukiwa mmojawao

Badala ya kuomba wajuzwe, wamekaa kupayuka payuka tu halafu sheria ikifuata mkondo wake mnalialia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom