Wizara ya nishati na madini yafunga machimbo

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,840
Wizara ya nishati na madini kanda ya kaskazini imeyafunga machimbo yote matatu ya kuchimba moramu na mawe katika kijiji cha Pumwani wilayani Moshi baada ya kutokea ajali iliyosababisha vifo vya watu saba ambao walikuwa wakipakia moram kwenye lori baada ya kufukiwa na maporomoko ya udongo.
 
Back
Top Bottom