Ni ukweli kwamba wizara hii ya Nishati na Madini imetushunda sisi wanaume
Sasa apaewe mwanamke mwenye UZALENDO NA MCHAPAKAZI. Kuna wanawake makini sana ambao wamedhibitisha uwezo na uzalendo wao kwa kufanya kazi vizuri ktk wizara au ofisi zao. Mfano:
1.Angela Kairuki
2.Ummy Mwalimi
3.Mama Mabula
4.Mkuu wa mkoa wa Shinyanga(jina la mama huyu silifahamu).
Hawa ni baadhi tu. Moja wapo apewe wizara hii. Nasema wazi kabisa, akipewa mwanaume BWAWA la umeme la mto Rufiji(S.Goji) halitijegwa. Atajificha kwenye Hoja potofu ya mazingira ili kulinda masilahi ya wezi wanaotuuzia umeme kama IPTL. Hoja ya mazingira ni hoja feki.
Mwisho, nakuomba mhesh.Raisi kuhusu ujenzi wa bwawa hilo la umeme lenya uwezo wa kuzalisha MGW 2100, usimame miguu miwili, asikutikise mtu, mbele kwa mbele mpaka bwawa hilo lijengwe. Wananchi walalahoi tupo nyuma yako. Wazungu na NGO zao nii WAONGO wakubwa. Mbona nchi zao zinamwaga taka za nukla kwenye nchi za afrika lakini wao wapo kimya. Migodi inachafua maji na kuharibu mazingira mbona wapo kimya.
Mzungu yupo kwaajili ya kutetea na kulinda masilahi yao kwa mwavuli wa mazingira. Hoja ya mazingira ni STAREHE. Nchi hii yetu. Kanuni ya sovergnity inatulinda. BWAWA HILO LAZIMA LIJENGWE KWA MASILAHI MAPANA YA WATANZANIA.