Wizara ya nishati na madini na nyie Tanesco ndio nini hii

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,837
Tanesco mmetuchosha na matangazo yenu ya uongo kila siku mmetangaza mgao wa umeme umeisha lakini tatizo bado linaendelea kwa nini msingelikaa kimya tujue moja?na nyie wizara hamjifunzi na matamko ya kejeli kila wakati waziri anawambia watanzania kama awataki umeme upande bei watumie vibatari kwani mngetumia kauli ya kistaharabu nini kingeharibika?kauli zinawarudi kila siku mwongo alipoona kiti cha wizara akakurupuka umeme tanzania sasa imebaki historia sasa anaumbuka watanzania ni wavumilivu sana jifunzeni kuongea nao.MSIKURUPUKE
 
Mtu unacheki movie kwenye cd umefika katikati ya utamu umeme puuuuuu inabidi unazokumbuka tena moja full Kero
 
Wanapima Joto la wana nchi tumelala au? Kwenye mchezo wa mbwa hapo ndipo hupatikana mbabe wanataka kujua msimamo wa wananchi
 
Back
Top Bottom