Wizara ya nishati kukutana na wadau wa REA Tar 29 March 2016

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,950
29,532
Kuna tangazo nimeliona kupitia TBC kwamba kutakuwa na kikao cha wadau,wazabuni wa uwakala wa umeme vijijini wakiaswa kuhudhuria bila kukosa.

Bila shaka majadiliano yatahusu tathmini ya mradi wa REA.
 
Back
Top Bottom