Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 264
Nisimung'unye maneno. wizara ya Nishati na madini ilikuwa bora zaidi kipindi cha Mh. Ngeleja. Wafanyakazi walikuwa wanajituma. Utendaji umeshuka sana. Matatizo yalikuwepo lakini hayakuwa mabaya kama yalivyoleo. Wafanyakazi ndani ya Tanesco, UWURA na hata TPDC wamechoka kudhalilishwa na Muhongo.
Muhongo hana uelewa kabisa ya kiuchumi. Kila nachokisema ni majigambo alivyosoma na alikofanya kazi Pretoria Afrika kusini.Anadiriki jinsi kijana wake Anayeitwa Rukonge alivyo na kazi nzuri na msomi. Jamani tunaomba kubadilishiwa waziri wizara ya Nishati na madini