Wizara Ya Nishati Ilikuwa Bora Zaidi Kipindi Cha Ngeleja

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Nisimung'unye maneno. wizara ya Nishati na madini ilikuwa bora zaidi kipindi cha Mh. Ngeleja. Wafanyakazi walikuwa wanajituma. Utendaji umeshuka sana. Matatizo yalikuwepo lakini hayakuwa mabaya kama yalivyoleo. Wafanyakazi ndani ya Tanesco, UWURA na hata TPDC wamechoka kudhalilishwa na Muhongo.

Muhongo hana uelewa kabisa ya kiuchumi. Kila nachokisema ni majigambo alivyosoma na alikofanya kazi Pretoria Afrika kusini.Anadiriki jinsi kijana wake Anayeitwa Rukonge alivyo na kazi nzuri na msomi. Jamani tunaomba kubadilishiwa waziri wizara ya Nishati na madini
 
Tatizo hasa ni nini? kudhalilishwa na Muhongo"...how?"wakati wa ngeleja wafanyakazi walikuwa wanajituma sana" ...lakini huduma ya umeme haipatikani kwa uhakika....
 
Nisimung'unye maneno. wizara ya Nishati na madini ilikuwa bora zaidi kipindi cha Mh. Ngeleja. Wafanyakazi walikuwa wanajituma. Utendaji umeshuka sana. Matatizo yalikuwepo lakini hayakuwa mabaya kama yalivyoleo. Wafanyakazi ndani ya Tanesco, UWURA na hata TPDC wamechoka kudhalilishwa na Muhongo.

Muhongo hana uelewa kabisa ya kiuchumi. Kila nachokisema ni majigambo alivyosoma na alikofanya kazi Pretoria Afrika kusini.Anadiriki jinsi kijana wake Anayeitwa Rukonge alivyo na kazi nzuri na msomi. Jamani tunaomba kubadilishiwa waziri wizara ya Nishati na madini

Ndio nyie bila shaka mnamhujuma Muhongo ili aonekane hafanyi kazi ipasavyo. Wakati wa Ngeraja ilikuwa ni disaster hasa kwa watumiaji umeme. Usisahau alikaa miaka mingapi hapo Nishati na Madini na hadithi ilikuwa ni ileile - mwakani mgao historia mpaka ameondoka. Lakini simlaumu sana maana alikuwa anatumiwa tu pale.
 
Nisimung'unye maneno. wizara ya Nishati na madini ilikuwa bora zaidi kipindi cha Mh. Ngeleja. Wafanyakazi walikuwa wanajituma. Utendaji umeshuka sana. Matatizo yalikuwepo lakini hayakuwa mabaya kama yalivyoleo. Wafanyakazi ndani ya Tanesco, UWURA na hata TPDC wamechoka kudhalilishwa na Muhongo.

Muhongo hana uelewa kabisa ya kiuchumi. Kila nachokisema ni majigambo alivyosoma na alikofanya kazi Pretoria Afrika kusini.Anadiriki jinsi kijana wake Anayeitwa Rukonge alivyo na kazi nzuri na msomi. Jamani tunaomba kubadilishiwa waziri wizara ya Nishati na madini

unafanisha tope na kinyesi.
 
Yeah Wanadhalilishwa... Lakini kweli kuna MGAO wa UMEME??? Unataka wawe anachekewa na kupewa MAUA na MGAO wa UMEME mtindo MMOJA???

AIBU KWELI... Yaani sasa Mtanganyika analalamika kuwajibishwa kufanya kazi na ni kazi ya Maana angalau kuna UMEME

Kweli hatutaendelea kama tutazidi kuwa na WATU KAMA WEWE ndani ya SERIKALI... Nadhani Una internet Jaribu kusoma Serikali za nchi nyingine walivyo wakali na Wafanya Kazi wao...

Soma kuhusu Scandals zilizoko kwenye SERIKALI YA OBAMA... panua UPEO WAKO TAFADHALI...

Sio Lazima Uwe Mwana UCHUMI - Uwe mtu wa kutimiza MAJUKUMU yako... PERIOD
 
Ukitaka kumkoma nyani giladi humtazami usoni. Muhongo kweli ana majigambo na dharau lakini umeme walau tunapata. Ngeleja alikuwa hopeless, ahadi kibao ambazo alishindwa kuzitekeleza jna kuchekachea hovyo. Inawezekana wafanya kazi wa wizara hiyo sasa hawatazamwi usoni ndiyo maana wanalalamika. Nani anataka sura? Sisi tunatakaumeme. Muhongo usiwachekee. Endelea kuwabamiza tupate umeme.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Muhongo na Maswi wamekutana,wavivu mtakoma.kusema ukweli Muhongo jembe kwenye kazi
 
Nisimung'unye maneno. wizara ya Nishati na madini ilikuwa bora zaidi kipindi cha Mh. Ngeleja. Wafanyakazi walikuwa wanajituma. Utendaji umeshuka sana. Matatizo yalikuwepo lakini hayakuwa mabaya kama yalivyoleo. Wafanyakazi ndani ya Tanesco, UWURA na hata TPDC wamechoka kudhalilishwa na Muhongo.

Muhongo hana uelewa kabisa ya kiuchumi. Kila nachokisema ni majigambo alivyosoma na alikofanya kazi Pretoria Afrika kusini.Anadiriki jinsi kijana wake Anayeitwa Rukonge alivyo na kazi nzuri na msomi. Jamani tunaomba kubadilishiwa waziri wizara ya Nishati na madini
Mkuu sijui unalitakia nini hili taifa au umejisikia tu kuandika chochote kwa nini watu wachapa kazi nyie babicha hamuwendi au wewe ni ngeleja?
 
Vigezo au viashiria ulivyotumia havitoshelezi kufanya ulinganifu yakinifu kuhusu huo unaouita ubora wa wizara ya nishati na madini. Pamoja na ukweli kuwa unyanyasaji na majigambo sio tabia nzuri na havikubaliki, lakini je, hivyo ndio vigezo mnavyotumia katika wizara huu muhimu kupima 'ubora' . Kwa lugha nyingine unataka kusema mkipata waziri ambaye hana majigambo na hanyanyasi wafanyakazi, tayari mtakuwa wizara 'bora' ?
 
Mkuu mimi unanipa shida sana kuwepo kwa taifa linaloendelea kama tanzania kama tungekuwa na watu kumi kama wewe tungekuwa na vyuo vingi sana vya kufundisha watu wa kulalamika mda wote bila kufanya kazi kweli unamawazo ya ajabu mno mrudie mungu unapotea.
 
Na mtaandika makala mjaze maktaba na Ngeleja wenu. Yaani kiufupi ni ukosefu wa akili kumlinganisha Prof.Muhongo na hicho kidude kinachovaa cheni kama kiuza mitumba huku sisi tunaozewa na mboga zetu kwenye majokofu kila saa hotuba ni Megawati, Megawati.

Wewe kama ni jitu vivu vivu lazima umseme vibaya Muhongo. Mmeanza kumshindwa Mtwara sasa mmehamia kwenye makala
 
Usitukumbushe enzi za Mr. Megawatt, alikuwa ana toa anazalisha umeme wa maelfu ya Megawatt kwa madomo! Mhongo kawazibia ulaji wenu sasa mnabaki kupiga jungu na kutaka kuangusha performance yake.

Nguzo zilizokuwa zinapelekwa Mombasa na kurudishwa kwa bei ya SA, mmetunyonya sana oneni aibu! Fanyeni kazi msiwaze kupiga dili!
 
Back
Top Bottom