Naamini adhabu zitafuata baada ya uchunguzi ili asionewe mtu.kuwasimamisha tu haitoshi inabidi wapewe adhabu kali za kinidhamu mbona watanyoooka tu
Kuna wajinga fulani walikuwa wanadhani eti utumbuaji majipu ni nguvu ya sodaHongera kwa serikali inajitahidi Na tutapiga hatua.#Tanzania kwanza
Tangu wahojiwe na polisi wamepotea mmoja baada ya mwingine bila kutupa mrejesho.Nawasubiri wale watetezi wa watumbuliwaji waje hapa
Hutapata "like" toka kwa "makamanda", lakini umesema ukweli. Huyu mtu anasafisha uozo na uvundo.Safi sana, sasa hata wakiajiliwa vijana watakuwa na nidhamu ya kazi, hapa kazi tu, pamoja na kwamba nipo ukawa kwa mambo ya ufisadi namuunga mkono Magufuli 100%