Kwa ufupi sana:
Kama nyie ndio wasimamizi wa jeshi letu la polisi:
Je:
1. Inaruhusiwa kwa muhusika wa uhalifu kuteswa ili akiri makosa?
Mumuvue nguo, Mumning'inize kama popo, mchukue hela zake, mumuchome bibisi, je hii inaruhusiwa na kwa sheria gani, hebu tuambieni?
2. Makomandoo wameenda kupigana huo Congo kwa niaba yetu Tanzania, wanarudi , wanapata PTSD, kwa nini munawaachia tu wajihangaikie, ni haki, nia njema au ni uonevu? Kazi yenu ni nini hasa kwa watu waliotumia taifa hadi kuweka maisha yao rehani kwa niaba yetu huko vitani AU Mnasubiri wawe Hamza ndio muake kutoka usingizini?
3. Munahakikishaje kwamba nyie kama wasimamizi wa jeshi la polisi , hao munao wasimamia wanafuata hiyo PGO ipasavyo?
4. Muna mipango gani ya kuhakikisha kunakuwa na Independent police complaint commission ili Police isijichunguze yenyewe pale inapotuhumiwa ?
5. Mbona mumelala fofofo sana, mpaka sasa hamjatoa tamko kwamba torture hairuhusiwi nchi Tanzania na kwa nini mnasubiri hayo ya mahakamani yaendelee kutuchafua tu bila weredi wenu?
6. Maslahi ya Mama Tanzania ni makubwa kuliko watu wachache huko polisi wanaoichafua nchi au maslahi ya nchi kwa ujumla wake si chochote , si lolote na ni sawa tu tuchafuliwe kwa vitendo vya polisi munao wasimamia...?
7. Ni kwa nini hamjiulizi hawa ndugu zetu mabalozi kila kukicha wapo mahakamani tu, wanapeleka taarifa gani huo kwao ?
Tafadharini chukueni taifa na lisafisheni jeshi kwa maslahi mapana. Tanzania ni yetu sote bila kujali tupo wapi.. Amkeni, Simbachaweni na wizara yako mmelala fofofo sana.., au labda mpka utumbuliwe ndio utajua umuhumu wa kazi safi ionayotakiwa kufanywa na jeshi la polisi?