Wizara ya mambo ya ndani iwaangalie graduates kwa jicho la huruma

Kaka nimekwambia kabisa mshahara unatofautiana kaka kama wewe ni doctor yaani MD unalipwa 1.5 milioni ,kwa aliesoma IT au Engineering 990000 na kwa degree za art ni 860000
Hivi posho wanalipa huko depo kwa upande wa polisi ?maana jkt walikuw wanatoa kiasi
 
Kaka nimekwambia kabisa mshahara unatofautiana kaka kama wewe ni doctor yaani MD unalipwa 1.5 milioni ,kwa aliesoma IT au Engineering 990000 na kwa degree za art ni 860000
Kuna MTU aliuliza kama mshahara wa form4 na degree n tofauti nazan post yako imejibu hilo swali
 
Samahan kwa kuuliza tena boss, hiyo 960k umesema ni pamoja na professional allowance, my qn is professional allowance inakuwa sawa kwa wote au ina vary? Na kuna ambao wanapata zaidi ya hiyo?

Pili sina uzoefu sana kwa polisi ila Kwa nnavyoona pia naona kuna utofauti mkubwa kati ya JWTZ na majeshi mengine kwenye upandaji wa vyeo..naona kama JWTZ kupanda vyeo ni haraka zaidi ila polisi hata kama una elimu nzuri unaweza sota miaka au inakuaje hapo?Kama unaufahamu tafadhali nielimishe kwa hili

Tatu, kwa jeshi kama polisi, kuna nafasi ya kuendeleza professional yako ukiingia huko yan wakakuruhusu kwenda kusoma au itategemea na uhitaj wao zaidi?
@goncalo
 
acha kulia lia jeshi lipeleke wapi wasomi.wasomi mkawe mainjinia huko mjenge mabarabar ambuni miradi mjiajiri si mmesoma nyie .acheni majeshi ni ya wasiosoma
Hahahaha.

Ukisoma utamtuma asiyesoma, asiyesoma atakasirika atakuja JF kuwakatisha tamaa waliosoma wengine wasiende jeshini ili yeye asitumwe nao.

Majeshi ni yenu nyote, mliosoma na msio Soma...

Ila Jeshi la Mbinguni haliangalii Elimu yako, Linaangalia "Utayari" wako .. KARIBUNI kwa Yesu
 
Yan hapo LA kwa magereza kwakuwa post zao huwa zipo general ila uhamiaji na fire constable Mara nyingi huwa n form4 aise
Kwani hapo anatakiwa mtu asie na uwezo wa kuhoji, wala kutafakari kwa kina agizo!!!!! hii ni mbaya sana
 
Waajiriwe wanaoweza kusoma na kuielewa PGO vizuri?

Nani alikudanganya.
 
Serikali ya Mama Samia Mama Yetu Mpendwa.Naimani alitazama Vijana wale walioitwa Usaili wa Jana Kilwa Road,Vijana wa Degree,Diploma na Certificate ni wengi Sana walikuwepo pale nasikia .Naimani Serikali itawafikiria idadi yao sio kubwa Sana..Mama Tunakupenda Sana Rais wetu.Kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani muwaangalie Hawa wasomi.Bado wanateseka mtaani.Mama Samia Wewe ndio mtu pekee wa Kuwabeba Hawa Vijana.....
Kazi Iendelee!
 
Tatizo vijana hawajui kutafuta ajira. Mtu anataka form 4 na wewe una degree, tatizo liko wapi? Si unaonesha cheti cha form four tu. Kwanini kuji aggrandise kuwa una degree ambayo itakutupa nje ya ulingo.
kila level ya elimu inakuwa na limit ya umri mfano form 4 mwisho 23yrs
Degree mwisho 28 au 33
Kumpata mtu mwenye degree mwenye miaka 23 ni wachache sana,umri tu unakusaliti labda ufanye mandingo kwny kipengere cha umri.
 
Back
Top Bottom