EVANCE HENRY
Member
- Aug 9, 2011
- 79
- 77
Majeshi yaliyo wizara ya mambo ya ndani matatizo yao mengi yanafanana. Ni vizuri kumpata mtu anayeyatambua matatizo sugu na utendaji wa majeshi hayo.
Kangi Lugora alikimbia polisi akiwa na Nyota mbili. Anajua matatizo ya polisi na askari ambao ndio sehemu kubwa ya wizara hiyo. Anafaa
Sorry, ccm ndio chama tawalaccm wote hovyo filikunjombe included..
Kwa tunaomfahamu, Deo hafai kuwa Waziri. Ana kiburi na majivuno na pia yeye tu ndie anajua engine site tu maamuma. Arudi kwao Njombe akakate mbao.
Try to be serious, uwaziri sio kama uchungaji wa kujitakia
Kwani MOHA ni ya polisi tu hadi tuhitaji ex police? Kuwa ex police peke yake haitoshi, inawezekana alikuwa ni 'polisi mzigo'. MOHA inahitaji mtu aliyebobea katika masuala ya security na intelligence kwa ujumla. Hii ni kwamba ana-record iliyosimama katika hayo, sio tu kuwa ex-nanihii, haitoshi.Tunahitaji ex police juwa waziri sio ex jambazi
Ndugu zanguni,
Kama mjuavyo baraza la mawaziri limepanguliwa na kila mtu ametega masikio kusubiri anani atateuliwa kuwa waziri na nani ataishia kuungana na waliotangulia.
Mimi binafsi niko very interested kuona wizara ya mambo ya ndani inapata askari wa ukweli kama alivyokuwa Mrema. Sote tunamkumbuka mzee wa kiraracha enzi zake jinsi alivyokuwa mchapa kazi.
Nimeangalia sana katika sura za potentials kuchukua wizara hiyo na nimeona majina mawili tu
Mheshimiwa Mwakyembe na Deo Filikunjombe.
Lakini kwa mwakyembe sitasema sana kwani aliko nadhani anafanya vyema sana na ingekuwa vyema akitoka alipo basi awe nafasi ya juu ya hapo alipo sasa.
Mimi naona huu wakati wa machafuko na majaribu mengi yanayolikumba taifa tunahitaji waziri wa mambo ya ndani ambaye sio mwoga na analijua vyema jeshi la polisi na kazi zake
DEO FILIKUNJOMBE ndio jibu
Huyu kila mtu anamkubali ndani ya CCM na upinzani kwa ujumla hivyo atakuwa kiungo kikuu katika kuliunganisha taifa
Sote tunakumbuka machachari yake na jinsi alivyo mtendaji akiwa mbunge tu wa kawaida
Huyu ni kijana sana na pia msomi aliebobea, bado ana nguvu na ana uchungu na nchi yake
Rais anahitaji watu kama Filikunjombe kurudisha heshima ya CCM na Serikali kwa ujumla
EDUCATION School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level Makerere University (MUK), Kampala - Uganda BA (Mass Communication) 1996 1999 MASTERS DEGREE CCP Moshi Police Training School, Kilimanjaro Certificate (Basic Field Craft) 2000 2001 CERTIFICATE Center For Foreign Relations College, Dar Es Salaam, Tanzania Language Course 2001 2002 CERTIFICATE Forest Hill Secondary School, Morogoro A-Level Education 1994 1996 HIGH SCHOOL Matola Pre-Form One Seminary, Njombe O-Level Education 1988 1989 SECONDARY Kasita Seminary Mahenge Diocese O-Level Education 1989 1992 SECONDARY Ludewa Primary School Primary Education 1986 PRIMARY
PLEASE MR PRESIDENT, GIVE YOUR PEOPLE WHAT THEY WANT....huyu mtu ni hazina kubwa kwa chama na taifa kwa ujumla
Kweli tumechoka , tunaunga mkono mpaka majambazi

Tunahitaji ex police juwa waziri sio ex jambazi
View attachment 127958Chris Lukosi
View attachment 127953 View attachment 127954
View attachment 127955 View attachment 127956 View attachment 127957
Katika post kadhaa huwa unaonekana kuegemea kwenye ushabiki na pengine mipasho, katika mada hii umeonyesha sura halisi uliyo nayo, nakuunga mkono kwa hoja ulizoleta. CCM inao vijana wengi wachapakazi, werevu na wenye kujituma na pengine kuunganisha vizuri utaifa lakini mazoea ya kuangalia majina na nani anatoka familia gani ndo yametufikisha hapa tulipo.
Binafsi nakubaliana nawe kwa asilimia 100 Deogratias Filikunjombe vema Kikwete akampa wizara ambayo inahitaji mtu makini kama hiyo ya Mambo ya Ndani na kwa vile alishakuwa mtumishi katika wizara hiyo pasi na shaka anajua vema yanayoendelea na wapi kwa kufanyia kazi.
Mbunge Filikunjombe
Nimebahatika kuonana naye mara moja katika pitapita zangu, ni mtu wa kawaida sana asiyependa kujikweza, si mpenda makuu, mtulivu, mpenda kuongea maendeleo na kuonyesha mapungufu asiyoyavumilia bila woga na mpenda ushirikiano. Anajali hoja na ukweli badala ya kile moyo unapenda. Ni mchapakazi kwelikweli na anayejituma.
Anaonekana ni mtu mara nyingi anayezama katika wimbi la kufikiria mambo mengi awapo popote, naana utaona ghafla kama amekaa kimya na kuzama kwenye fikra, mtu wa aina hiyo ni chanda cha dhahabu kwenye kisahani, dalili ya kuwa mtu wa watu anayewafikiria watu wake, sawa na baba anayehangaika usiku na mchana na kufikiria watoto wake wavae nini, wale nini, wasome nini na wapi, nk.
Nimewahi kumsikia mimi mwenyewe akisema wapinzani licha ya uchache wao wana hoja nyingi nzuri tunatakiwa tuwape nafasi yawasikiliza na mazuri tuyafanyie kazi, nadra sana kupata mbunge wa CCM au kiongozi wa serikali kutamka kitu kama hicho.

Nimecheka sana, huyu huyu deo apewe uwaziri ndani ya CCM... Wanaopewa uwaziri ndani ya CCM ni yale matoyoyo wale watakayo kuwa tayari kuifia CCM siyo tanzania.. Pole sana Deo Kwani Ndani ya CCM sahau uwaziri hata ubunge mwaka 2015 utausikia tu na kama watathubutu kukupa uwaziri au unaibu watakuweka sehemu ya kukumaliza au ya kukutega....