Wizara ya Maliasili na Utalii kwanini msimtumie "Bongo zozo" kwa ajili ya kuongeza Wageni kuja kutalii nchi ya Tanzania?

FRUIT TREE

JF-Expert Member
Jun 7, 2018
697
819
Kwanza mimi ni Mtanzania kabisa wa kuzaliwa, Mama na Baba pia ni wazaliwa hapa Tanzania.

Ila sidhani kama nina "feelings" za uzalendo wa Nchi yetu Tanzania kumzidi "BONGO ZOZO" ambaye ni raia wa Uingereza.

"BONGO ZOZO" nimeanza kumfuatilia muda mrefu kwenye mitandao ya kijamii. Inaonekana anaipenda sana Tanzania ila viongozi hawampi "SUPPORT" ya kutosha..Labda inawezekana ni sababu za kiusalama au la hasha.

Lakini kama hakuna sababu za kiusalama zilizothibitishwa basi kuna haja ya wizara husika kumtumia "BONGO ZOZO" katika kutangaza UTALII wa Tanzania hasa katika wakati huu ndugu yetu "SAMATTA GOAL" akiwa Uingereza.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili mgando za Watendaji wa Serikali.Huyu jamaa anaipenda sana Tanzania.Mi siwashangai kwa Ubozo wao hao Bodi ya Utalii.Wameshindwa kumtumia hata Maulid Kitenge,ambaye kila siku tunamuona yuko kwenye nchi za watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom