Wizara ya Maliasili Hakuna Msemaji wa Wizara??

sekulu

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
988
157
Nakumbuka Mh. Rais Alisema maafisa habari wa Wizara wapewe kazi na wafanye kazi zao, Lakini nashangaa kwa Upande wa Mh Maige, yeye kila siku unamkuta anazungumza kwenye Media sasa nashindwa kuelewa kama wizara haina Msemaji au ndo Jamaa anapenda kuuza Nyago, Maaana kila taarifa Kajamaa hakakosi!.

=============================================================
 
Kwa hiyo kama kuna msemaji waziri haruhusiwi kuonekana kwenye media?!. Nina mashaka juu ya uekewa wa mtoa mada.
 
Wala siyo kupenda kuuza sura Mkuu, wakati mwingine hata ma-surbodinates nao wanasumbua unakuta mtu unataka vitu viende wenyewe wapo tu sasa hapo mkuu unataka Waziri akae tu hata kama mambo hayaendi kama alivyotarajia?

Mwache aongee bwana kama hao wenye vitengo vyao wanasinziasinzia hapo yeye afanyeje?
 
kama yanamuhusu muache aseme kwa sababu ndicho kilicho muweka hapo unapomuona
 
Kwa hiyo kama kuna msemaji waziri haruhusiwi kuonekana kwenye media?!. Nina mashaka juu ya uekewa wa mtoa mada.
Duh, We jamaa kiboko. Hujanielewa Soma upya au kama unaona sielewi nieleweshe!,

Ukinielewesha nitajua uelewa wako, usiponielewesha nitajua kwamba hata wewe umechangia pasipo kuelewa!

KUSH
 
Wala siyo kupenda kuuza sura Mkuu, wakati mwingine hata ma-surbodinates nao wanasumbua unakuta mtu unataka vitu viende wenyewe wapo tu sasa hapo mkuu unataka Waziri akae tu hata kama mambo hayaendi kama alivyotarajia?

Mwache aongee bwana kama hao wenye vitengo vyao wanasinziasinzia hapo yeye afanyeje?

Kuna hajea y a kuajiri kwa mikataba serikalini watu watatia Adabu
 
Back
Top Bottom