wizara ya maendeleo: ofisi ya usajili NGO!

mkatakona

Member
Nov 28, 2011
29
4
Habari zenu waungwana! Mwenzenu tangu Nov. Niko Dar nafuatilia usajili wa NGO.... Kinachonifanya niandike hapa ni Ukiritimba uliokithiri ofisi ya msajili. Mara katiba na viambatansho vyote vimepotea leta upya kila kitu, mara msajil hayupo, mara wino umekwisha, mara cheti tayari ila mkurugenzi muweka saini hayupo rudi wiki ijayo leo naambiwa hatuna vyeti kwavile wino hakuna! NAULIZA HV NI MIMI TU NDIO NASUMBUKA HV AU WENZANGU WANAOPATA VYETI WANAWAFANYAJE??? NENDA RUDI TANGU NOV. MPAKA LEO IKIWA NIMELIPIA NA RISITI NIMEPEWA..... HV WIZARA KUBWA HV INAKOSA WINO MWEZI MZIMA???
 
kkoo sehemu gani mkuu? Maana nashindwa kuanza kazi kwa vile sina cheti cha ukubalifu!
 
Back
Top Bottom