Mkakombinga
Member
- Jul 5, 2021
- 29
- 96
Ukisoma sheria ya madini ya mwaka 2010 na marekebisho yake sehem ya VI isemayo ROYALTIES FEES AND OTHER CHARGE. kifungu cha 87(1) inasisitiza royalty ya 6percentum kwenye dhahabu na madini mengine km yalivyoainishwa japo mengine kiwango chake kiko chini ya 6percentum.
Kumezoeleka katika nchi hii pale panapofumuka madini kwa maana ya RUSH wizara ya madini inakusanya 10% ya mawe yanayozaniwa ni yadhahabu nakuyapiga mnada , lakini baada ya mawe aliyobakishiwa mchimbaji kuchenjuliwa dhahabu wanafuata tena inapouzwa toka ktk mawe kodi ya 6percentum
Haitoshi wanachukua kodi nyingi zikiwemo za ukaguzi ambazo na service ravy ya halmashauri husika.
Swali langu nikwamba Nisheria au kanuni ipi inawapa mamraka tume ya madini kusimamia RUSH badara ya kuzirasimisha nakutoa leseni ili wakusanye kodi kwa mujibu wa sheria?
Huu upigaji wa mawe mnada uko kisheria?
Naomba msaada kwa wajuvi wa sheria.

Ni hivi mkuu
Ili usikatwe mrahaba wa mbale za dhahabu au kwa maana nyingine mfuko wa dhahabu lazima mwalo wako uwe eneo la leseni yako au rush.
Sasa kunapokuwa na rush ina maana mifuko inatoka inaenda kwenye mialo tofauti hvyo serikali inashindwa kumonitor royalty ya rush inabidi wakate mifuko ya dhahabu ndo iwe tozo ya rush...sijui nmeeleweka mkuu