Wizara ya kazi: Tatizo la ajira nchini lapungua toka 16% mpaka 13% | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizara ya kazi: Tatizo la ajira nchini lapungua toka 16% mpaka 13%

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Hofstede, Dec 12, 2008.

 1. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #1
  Dec 12, 2008
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Nilikuwa sijui kuwa Tanzania ni moja kati ya nchi chache zinazoongoza kwa ajira maana kuwa na Unemployment rate ya 13% miongoni mwa vijana ni hatua kubwa. Ila swali langu ni kwa nini uhalifu upo juu na vijana wengi wanashinda vijiweni?, je katibu mkuu wa wizara anaposema ajira anaingiza na wapiga debe na vibaka na dadapoa? au ni ajira gani hasa?
   
 2. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2008
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,435
  Likes Received: 1,016
  Trophy Points: 280
  Takwimu za kupika kabisa, haiwezekani dunia nzima iko katika matatizo ya ajira Tanzania nchi maskini kuliko zote iwe na takwimu za kinyume nyume namna hii. hiki ndio kipindi ambacho kuna vijana wengi kabisa wanamaliza shule kwa wingi kuliko kipindi chochote kile katika historia ya nchi hii na vijana wanao ingia mtaa ni wengi na ushahidi ni huku uswazi na mkoa ambapo vijana kibao wako kijiweni.

  Takwimu hizi kaandaliwa mtu atiwe changa la macho kama sio wafadhili basi JK, sidhani kama sie wabongo zinatuhusu manake sio za kwetu na haionyeshi picha halisi kuna mshauri kavuta hela na kupika data.
   
Loading...