Wizara ya Kazi, Ajira na maendeleo ya vijana- Tovuti yenu inatia aibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizara ya Kazi, Ajira na maendeleo ya vijana- Tovuti yenu inatia aibu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Sisimizi, Jul 5, 2010.

 1. Sisimizi

  Sisimizi JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2010
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 490
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Ndg zangu, leo nimepitia tovuti hii: The Tanzania National Website, unapofungua tu unakutana na maneno yanayosema " Today is 27th November 2009". Hii ni aibu. Yaani wataalamu wenu wameshindwa kuseti tovuti yenu iwe inashindwa hata kukumbuka tarehe???? Kama mmeshindwa kuweka taarifa zinazokwenda na wakati, hata tarahe nayo mmeshindwa kuseti vizuri.

  Huu ni uzembe.
   
 2. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2010
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Ndio hivyo tena ndugu yangu, nchi ya kitu kidogo hakuna la maana linalofanyika. Pole kwe kukwazika. Wataalamu wapo, ila hawapewi nafasi kwa sababu wengi wao sio watoto wa wakubwa!
   
Loading...