Wizara ya Katiba na Sheria Wanafungasha tayari kwa kuhamia Dodoma

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,485
Heshima kwenu wakuu,

Ama kweli Safari hii dodoma itafulika. Kwa mbaali nawaona hawa waheshimwa Wanasheria wakiwa wanfungasha tayari kwa kuhamia Dodoma kutoka Dar es Salaam, Naamin hadi kesho watakuwa washasepa.

Nasubiri kujua jengo watakalohamia pale Dodoma. Gari la Jeshi lipo Tayari kubeba Mizigo

Nawatakia kila la Heri.
32b941c0-2c6c-4a5f-b85c-db08f12a9f6d.jpg
c3a563af-f69c-41cb-843f-e60ac64ba46a.jpg
4086c549-5dc1-49ed-a872-294755f3ca43.jpg
aa7f26ea-9a88-4c09-8780-c7e9523c714c.jpg

Baadae kidogo ntawawekeeni picha zenye muonekano mzuri. Samahani kwa muonekano huo
 
Waende tu sioni mhimu wao, wengine wanasigina katiba wao wanatazama tu...wacha wakakae mbali huko
 
Hivi kwa nini serikali isibadilishane majengo na UDOM...nawaza tu...
yani UDOM wayachukue majengo ya wizara hapa Dar na Wizara zote zikae kwenye majengo ya UDOM...
Vyuo vinaweza kuwa na campus maeneo tofauti hapa Dar (Wizara tofauti)

maana haya majengo ya Dar sidhani kama ni logic kuyauza na kujenga tena DOM
 
Wizara ya hela na wizara ya mambo ya nje wakihamia Dodoma sitasubiri kuambiwa

Nahamia mazima hata biashara ya kuchoma udaga nitafanya

Hao waliobaki wahame wasihame hata sina wazo nao, imagine mabalozi na foreign missions zote Dom, then airport ya Dom lazima tu itaandaliwa kupokea ndege kubwa direct, sasa kutakuwa kumebaki nini tena
 
Back
Top Bottom