Wizara ya katiba na Sheria wameshitukia kuwa Baada ya 2015 Maabusu wa Ufisadi wataongezeka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizara ya katiba na Sheria wameshitukia kuwa Baada ya 2015 Maabusu wa Ufisadi wataongezeka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chilisosi, Sep 26, 2012.

 1. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
 2. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,770
  Likes Received: 6,103
  Trophy Points: 280
  Kuna sheria fulani imekuwa ikipigiwa chapuo sana na magamba kwa siku za hivi karibuni - huu uzi wako umenifumbua macho. Sheria yenyewe ambayo huenda ikapelekwa mjengoni kwa hati ya dharura ni itakayoruhusu mahabusu na wafungwa kutembelewa na mke/mume/mpenzi.

  Naona mazingira yanaandaliwa kwa kila namna ili ikitokea "waheshimiwa" wametiwa hatiani, waendelee kufaidi ile kitu. Nasikia pia wana andaa mazingira ili jamaa waweze kutandika kwa raha zao; chezea bongo wewe.
   
 3. N

  Nonda JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
  Hata Rangi ya mabasi ni ile ya Chama cha kulea Mafisadi, wala na watoa rushwa.
  Hata kama ni lupango, ni vyema kupelekwa kwa heshima ya rangi ya chama.
   
 4. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1: watajijuu
   
Loading...