Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu, mmiliki wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Harbinder Seth kulipa fidia ya Sh26.9 bilioni baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia Sh309 bilioni kwa njia ya udanganyifu.Ni kweli kuna baadhi ya Sheria zina mapungufu na Wizara kwa kushirikiana na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea kuzifanyia kazi ikiwemo kuziboresha, kuzifuta na kutunga zinazoendana na wakati.
Kuhusu ubadhilifu wa mali za umma, kosa husika linaweza kuhesabika katika makosa ya uhujumu uchumi (inategemea), na sheria ya uhujumu uchumi ipo pamoja na adhabu zake.
Au unazungumzia sheria ipi mahsusi nguvu