Wizara ya fedha yatoa majibu kuhusu kutoa mikopo kwa watumishi wa umma

Trust None

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
1,260
4,415
Kwanza niwashukuru JF, kuwepo kwake kunaonesha ni jinsi gani ni kiungo baina ya watanzania wote. Taarifa hii ilianzia humu, kwa majibu haya inaonekana viongozi wote wanapitia JF kila siku.

Siongezi neno, soma mwenyewe
Screenshot_20200322-201740.png
 
Yaani Wahitaji wa mikopo ni Watumishi wa uma tu, vipi sisi wengine a.k.a Wananchi wa kawaida?
 
Back
Top Bottom