Wizara ya Fedha, salary slip kupitia salary slip portal za kila mwezi ziwe zinatoka mapema kuliko hivi sasa

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
43,795
2,000
Wizara ya Fedha mmefanya jambo jema na la kupongezwa kwa kuanzisha utaratibu wa watumishi wa umma kupata salary za kila mwezi online kupitia salary portal. Hii ni tofauti na miaka ya nyuma ambapo zilipokuwa zinatolewa na Hazina na kisha kusambazwa kwenye idara,wizara na taasisi za umma au wafanyakazi kulazimika kuzifusta Hazina wanapozihitaji.

Hata hivyo, pamoja na pongezi hizi, naona liko tatizo la salary slip kuchukua siku kadha kupatikana online baada ya mishahara kutoka. Kwa dunia ya leo, siku tano mpaka saba baada ya mshahara kutoka, bado ni nyingi hivyo hakikisheni zinatoka mapema zaidi.

Salary slip zikitoka mapema, zinasaidia watu kukamilisha mipango yao na dharura wanazokabiliana nazo hasa pale panophitajika salary slip ambazo ni latest kuweza kupata huduma mbalimbali.

Watu wanasubiri;watu wanakwama kisa salary slip hazijatoka na haijulikani itachukua siku ngapi.

Mkiwawezesha watumishi kupata salary zao mapema, mnasaidia watu wengine biashara na shughuli zao kuenda.

The earlier, the better.
 
akilinene

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
429
500

Huoni aibu wewe mtumishi wa umma lakini unashabikia ugaidi wa Mbowe na Chadema yake. Kila siku kuwalilia wazungu wako lakini wewe wa kwanza kuulizia mishahara ya serikali. Shame on you.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom