mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,307
- 6,514
Wizara ya fedha imekanusha taarifa zinazoenea kuwa wao wanahusika na upotevu wa ruzuku ya CUF. Akihojiwa na Azam TV msemaji wa wizara ya fedha amesema wao hupeleka jumla ya fedha zote za ruzuku kwa msajili wa vyama vya siasa, ambaye yeye huusika na kuigawa kwa vyama husika.
Msemaji huyo ameishauri CUF iende kwa msajili wa vyama ili wakapate majibu ya kile wanachokituhumu.
Chanzo: Azam TV news
Msemaji huyo ameishauri CUF iende kwa msajili wa vyama ili wakapate majibu ya kile wanachokituhumu.
Chanzo: Azam TV news