WIZARA YA ELIMU YAWADHALILISHA wakufunzi wa vyuo vya ualimu......

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,802
282
wana Jf,
hii ni udhalilishaji wa kutisha wa kufunga mwaka.

ni hiv, wizara imetuma barua tar 15 dec ikiwataka wakufunz wote warudi kazini wale walioko likizo na walioko.masomoni kuwa tar 19 wawe wamerudi.

lengo ni kuwalipa mishahara kwa hundi huku zoezi la kuhakiki watumishi likiendeleaaa hapohapo.

wakufunz wote wakarud, mara akaja muhasibu toka MOF wizara ya fedha. akasema nataka kila mtumishi aje kusaini kwenye hii orodha ya majina. ..... hundi sina, then narud nayo wizaran..

huu ni ujinga, fikiria mtu alikuwa likizo dar, kazi ni kigoma!!! au unasoma SAUT MWANZA,@ Kituo Mtwara..... hiyo kaz c angefanya mkuu wa chuo?????

mbaya zaidi baadh ya vyuo, ngumi zilitaka kupigwa @Tukuyi, MORO....

yaan kuna mauchafu kibaoooo kwenye hii IDARA YA UALIMU
 
Walimu tuingie mtaani, tunasubiri nini, mie tayari nina bango langu, nasubiri "support" tulianzishe.
 
Bora kwan walimu hambebek na hamtak kubebeka wacha mkome,mukoba kama kawa yupo kwenye mjengo mwl house anapunga upepo,
 
wana Jf,
hii ni udhalilishaji wa kutisha wa kufunga mwaka.

ni hiv, wizara imetuma barua tar 15 dec ikiwataka wakufunz wote warudi kazini wale walioko likizo na walioko.masomoni kuwa tar 19 wawe wamerudi.

lengo ni kuwalipa mishahara kwa hundi huku zoezi la kuhakiki watumishi likiendeleaaa hapohapo.

wakufunz wote wakarud, mara akaja muhasibu toka MOF wizara ya fedha. akasema nataka kila mtumishi aje kusaini kwenye hii orodha ya majina. ..... hundi sina, then narud nayo wizaran..

huu ni ujinga, fikiria mtu alikuwa likizo dar, kazi ni kigoma!!! au unasoma SAUT MWANZA,@ Kituo Mtwara..... hiyo kaz c angefanya mkuu wa chuo?????

mbaya zaidi baadh ya vyuo, ngumi zilitaka kupigwa @Tukuyi, MORO....

yaan kuna mauchafu kibaoooo kwenye hii IDARA YA UALIMU
Serikali mliiweka wenyewe madarakani baada ya kupokea vikofia vya kijani na chumvi. Malalamiko ya nini? Acheni serikali ifanye inavyotaka ili safari nyingine watanzania mjifunze!
 
Yawezekana katika makao makuu ya wizara mtu anaamua awafanyie nini watumishi wa wizara yake walioko mikoani. Akishapata idea anaifanyia kazi bila hata kufanya 'cost and benefit analysis'. Matokeo yake ni watumishi kuumia kisaikolojia na hata kiuchumi.Wakubwa badillisheni staili zetu za 'Kuwatumikisha' watumishi!
 
walimu ni wa soft kazi yao kutumika kwenye chaguzi kuiba kula ili ccm ishinde leo mbona mnalalamikia ndoa yenu na ccm?vumilieni ndoa ni uvumivu
 
Back
Top Bottom