Habari za leo wadau wa jamii forum,wanafunzi waliomaliza shule za msingi na sekondari mwaka 2014 hadi 2018 wizara haikutoa vyeti vya kumaliza elimu (leaving certificate),jambo ambalo kwa maoni yangu serikali haikuwatendea haki vijana hao,kwani kuna fursa nyingi wanazikosa kwani barua za mashuleni wanazikataa,ukienda shule ambapo hapo awali walikuwa wanapelekewa maganda na wanatayarishiwa hapo shuleni,kama serikali imeweza kutoa tena kwa wanafunzi 2019,basi iwape vijana hao haki yao ya msingi