Wizara ya elimu jameni isimamie elimu tu, hawa tamisemi waacheni wenyewe!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizara ya elimu jameni isimamie elimu tu, hawa tamisemi waacheni wenyewe!!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mansakankanmusa, May 9, 2012.

 1. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  Nchukue dakika mbili niiambue mamlaka za JK TAMISEMI wanamambo mengi ya ujenzi wa nchi/taifa kuanzia shinani/vijijini ELIMU ichukue shule zake, kuruhusu madiwani kufuatilia shule huu ni uzandiki mkubwa
   
Loading...