kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,260
- 6,992
Pamoja na serikali kufuta ada na michango mashuleni,bado kuna kero zinawakabili watoto wetu ambazo wizara haipaswi kumsubiri rais azishughulikie.
Hivi sasa shule nyingi za sekondari za kata ratiba za masomo ni kuanzia saa moja asubuhi mpaka tisa na nusu,wazazi baada ya kuelezwa wasichangishwe wamejitoa kuchangia chakula kwa watoto hawa jambo linalowafanya wanafunzi kukaa na njaa masaa zaidi ya Kumi kila siku.
Kwahali hii watapenda shule? Shule ya kushindishwa njaa na kusababishiwa vidonda tumbo.
Pamoja na mabadiliko yasiyomana ya utoaji matokeo kwa GPA ambazo hata walimu hawazielewi vizuri, kutokariri darasa kwa wanaofeli kidato cha pili na mengine mengi, wizara hii inaonekana kujaribu jaribu mambo bila tafiti za kisayansi.
Kila waziri anaweza kubadili mfumo wetu kwa mawazo yake tuu bila ushirikishwaji mpaka wa wadau.
Ni wakati sasa wizara hii iendeshwe ki weledi.

Last edited by a moderator: